Hakika, ni dhahiri kuwa haki za wanyonge zinabinywa kwa sababu ya kukithiri kwa rushwa katika jamii za kiafrika.
Rushwa inaathiri maendeleo katika mataifa ya Afrika kusini mwa jangwa la Sahara ambako kadri ya idhaa ya Kiswahili ya Ujerumani DW, watu wanaokadiriwa kufikia milioni 75 hutoa rushwa katika mwaka mmoja. Hivyo tunayo kila sababu ya kumuunga mkono raisi wetu mheshimiwa John Joseph Pombe Magufuli anayepambana na adui rushwa usiku na mchana.
Profesa Patrick Lumumba Otieno ni miongoni mwa wanaharakati wachache wanaoamsha ari za waafrika ili waondokane na rushwa, anastahili pia kuungwa mkono.
HEKO RAISI WETU JPM KWA KUDHAMIRIA KUFUTA KABISA RUSHWA NCHINI TANZANIA.
RUSHWA NI ADUI WA HAKI
ReplyDeleteHakika, ni dhahiri kuwa haki za wanyonge zinabinywa kwa sababu ya kukithiri kwa rushwa katika jamii za kiafrika.