Watanzania tutambue na tuenzi urithi wa taifa letu. Hakika Tanzania ni nchi iliyojaliwa neema ya rasilimali za asili ambapo zikitumika vilivyo, taifa litaweza kutengeneza pato la taifa kwa ajili ya maendeleo endelevu ya taifa. Pia tujivunie rasilimali zetu kwa kuwa mawakala (agents) wa ulinzi shirikishi dhidi ya upotevu wa rasilimali zetu kwa hila za majangili.

ReplyDelete